1107.7 UPENDO FM RADIO LIVE

UPENDO FM LIVE

Wednesday, October 31, 2012

LEO NI KUMBUKUMBU YA MARTIN LUTHER

 Leo ni siku ambayo Martin Luther King alibandika zile hoja 95 kwenye mlango wa kanisa huko Wuttenburg Ujerumani akipinga mambo kadhaa yaliyokuwa yakiendelea ndani ya kanisa katiliki kwa wakati huo.  Hiyo ilikuwa Oktoba 31 mwaka 1517
 Moja kati ya hoja zake alipinga kodi iliyokuwa ikitozwa na Papa, kama malipo ya ondoleo la dhambi.
Huyu ndiye aliyeanzisha Protestant. Walutheri na wakristo kwa ujumla wana hazina ya historia ya kujivunia.

Zaidi soma hapa
On this day in 1517, the priest and scholar Martin Luther approaches the door of the Castle Church in Wittenberg, Germany, and nails a piece of paper to it containing the 95 revolutionary opinions that would begin the Protestant Reformation.
In his theses, Luther condemned the excesses and corruption of the Roman Catholic Church, especially the papal practice of asking payment—called "indulgences"—for the forgiveness of sins. At the time, a Dominican priest named Johann Tetzel, commissioned by the Archbishop of Mainz and Pope Leo X, was in the midst of a major fundraising campaign in Germany to finance the renovation of St. Peter's Basilica in Rome. Though Prince Frederick III the Wise had banned the sale of indulgences in Wittenberg, many church members traveled to purchase them. When they returned, they showed the pardons they had bought to Luther, claiming they no longer had to repent for their sins.
Luther's frustration with this practice led him to write the 95 Theses, which were quickly snapped up, translated from Latin into German and distributed widely. A copy made its way to Rome, and efforts began to convince Luther to change his tune. He refused to keep silent, however, and in 1521 Pope Leo X formally excommunicated Luther from the Catholic Church. That same year, Luther again refused to recant his writings before the Holy Roman Emperor Charles V of Germany, who issued the famous Edict of Worms declaring Luther an outlaw and a heretic and giving permission for anyone to kill him without consequence. Protected by Prince Frederick, Luther began working on a German translation of the Bible, a task that took 10 years to complete.
The term "Protestant" first appeared in 1529, when Charles V revoked a provision that allowed the ruler of each German state to choose whether they would enforce the Edict of Worms. A number of princes and other supporters of Luther issued a protest, declaring that their allegiance to God trumped their allegiance to the emperor. They became known to their opponents as Protestants; gradually this name came to apply to all who believed the Church should be reformed, even those outside Germany. By the time Luther died, of natural causes, in 1546, his revolutionary beliefs had formed the basis for the Protestant Reformation, which would over the next three centuries revolutionize Western civilization.

Na Isaac Kikula, kwa msaada wa mtandao.
Barikiwa.

Monday, October 29, 2012

KKKT KING'ONGO-IBADA YA MAVUNO YAFANA

 Washarika mbalimbali wakiwa kwenye ibada hiyo.
 Sadaka zinatolewa, sadaka ya mavuno hutolewa mara moja tu kwa mwaka.
Wengi hupenda kumtolea Mungu sehemu ya mali zao, kama mifugo, mazao, bidhaa za dukani n.k



 Wakati wengine wakihamasishana kuharibu au kuchoma majengo ya kuabudia, sisi tunaendelea kuwahamasisha watoto wetu kujenga tabia ya utoaji.Watoto walikuwa sehemu ya watu waliotoa sadaka yao ya Mavuno

 Radio Upendo ilirusha moja kwa moja Ibada hiyo, na hapo ni fundi mitambo Mkuu Fred Kissinda, Fundi msaidizi Eliapendavyo Estomih na mwenye tai nyekundu nyuma yao ni mtangazaji Isaac Kikula wa Upendo Fm Radio.
 Kwaya ya Uinjilist Kijitonyama iliwasha moto katika Ibada hiyo iliyofanyika kwenye kiwanja kipya kinachotarajiwa kujengwa kanisa kubwa la KKKT Usharika wa King'ongo.
 FFundi mitambo fred Kissinda akiwajibika
 IIbada iliendeshwa na Msaidizi wa askofu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dean G.P. Fupe,,hapa akibadilisha sadaka za mavuno kuwa kwenye thamani ya fedha.
KKuku, bata, mbuzi na vinginevyo vilivyotolewa vilinadiwa na fedha kuwekwa kwenye mfuko wa kanisa. Picha zote na Isaac Kikula wa Upendo Fm Radio.

Saturday, October 20, 2012

VIFO DARFUL

Wakuu wa Sudan wanasema watu kadha wamekufa kwenye shambulio lilofanywa na wapiganaji dhidi ya wanajeshi wa serikali katika eneo la Darfur, magharibi mwa nchi.
Kikosi cha usalama cha UMoja wa Mataifa na Afrika huko Darfur
Afisa mmoja wa serikali alisema wanamgambo wanaounga mkono serikali wameuliwa katika shambulio hilo la ghafla, karibu na al-Fasher, mji mkuu wa jimbo la North Darfur.
Umoja wa wapiganaji - Sudanese Revolutionary Front - ulisema ulifanya shambulio hilo na kuuwa wanajeshi wa serikali na kuteka magari ya jeshi na silaha.
Baadhi ya makundi ya wapiganaji ya Darfur mwaka jana yalitia saini mkataba wa amani na serikali ya Sudan, lakini makundi mengine yanaendelea kupigana.

Saturday, October 13, 2012

TASWIRA ZAIDI ZA UHARIBIFU WA MAKANISA MBAGALA


 Mama na mwanawe wakilia baada ya kushuhudia uharibifu huo.
 Msalaba na vyombo vya madhabahuni vimevunjwavunjwa na kuchomwa moto.
 Mchungaji wa KKKT Usharika wa Mbagala Frank Kimambo, kasiki la saccos nalo limevunjwa
 Mkuu wa KKKT na Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dakta Malasusa akiingia kanisani kushuhudia uharibifu
 Askofu Malasusa, Msaidizi wa Askofu Dean Fupe na Mchungaji Kadiva wakishuhudia madhabahu ya Bwana ilivyoharibiwa usharikani hapo.
 Mimbara imechomwa na kuharibiwa
 Dakta Malasusa akishuhudia Mimbari ya kuhubiria ilivyochomwa moto
 Waumini na wananchi mbalimbali wakiwa hawaamini kilichotokea
Biblia zimechanwachanwa na nyingine kuchomwa moto

HAIJAPATA KUTOKEA DAR

 Kinanda kimevunjwavunjwa na kupinduliwa
 Akinamama wakiombeleza,,wanamshtakia Mungu
 Hii ni iliyokuwa ofisi ya Mchungaji, kuna mali nyingi zimeibiwa na nyingine kuteketezwa humu
Spika ikiwa imechomwa moto

WAISLAMU WAFANYA UHARIBIFU MKUBWA KKKT MBAGALA

 Washarika wa KKKT Mbagala wakiangalia uharibifu uliofanywa na waislamu kwenye kanisa lao.
 Gari iliyokuwepo kanisani hapo
Mimbara, Madhabahu, na jengo la kanisa vimeharibiwa vibaya

Thursday, September 20, 2012

ZANZIBAR-PICHA SAFARI YA ZANZIBAR

 Bahari shwari!!
 Bandari ya Zanzibar
 Kumbukumbu ya soko kuu la watumwa
Waandishi wa habari wa Radio Upendo wakizuru kumbukumbu ya soko kuu la watumwa, picha zaidi, tembelea mtandao huu.