Monday, August 13, 2012
TANZANIA LOVE FESTIVAL LAFANA
Pichani, matukio mbalimbali katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam, ambako lilifanyika tamasha kubwa la Upendo, kwa uratibu wa Umoja wa Makanisa ya Dar es Salaam, ambapo Mwinjilist wa Kimataifa Andrew Palau alihubiri injili ya nguvu ya kuhusu msahama wa dhambi na uwezo wa msalaba wa Kristo kuvunja vifungo vya aina mbalimbali na kumweka huru mtu. katika tamasha hilo michezo mbalimbali ilioneshwa kama inavyooneka katika picha.
Subscribe to:
Posts (Atom)