1107.7 UPENDO FM RADIO LIVE

UPENDO FM LIVE

Friday, August 10, 2012

KANISA LA AZANIA FRONT-MWAKA 1913




Picha za kanisa la Azania front, ambalo ni moja ya makanisa ya mwanzoni kabisa kujengwa jijini Dar es Salaam. kanisa hili lipo na linatumika hadi sasa, lakini limekarabatiwa na lina mandhari ya kupendeza zaidi.
Mwaka huu, Injili katika maeneo ya Pwani ya Mashariki mwa Tanganyika inatimiza miaka 125. kuna mambo mengi mazuri yaliyoandaliwa na KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani kusherehekea Jubilei ya Miaka 125 ya ujio wa injili hapa nchini.