1107.7 UPENDO FM RADIO LIVE

UPENDO FM LIVE

Saturday, October 13, 2012

TASWIRA ZAIDI ZA UHARIBIFU WA MAKANISA MBAGALA


 Mama na mwanawe wakilia baada ya kushuhudia uharibifu huo.
 Msalaba na vyombo vya madhabahuni vimevunjwavunjwa na kuchomwa moto.
 Mchungaji wa KKKT Usharika wa Mbagala Frank Kimambo, kasiki la saccos nalo limevunjwa
 Mkuu wa KKKT na Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dakta Malasusa akiingia kanisani kushuhudia uharibifu
 Askofu Malasusa, Msaidizi wa Askofu Dean Fupe na Mchungaji Kadiva wakishuhudia madhabahu ya Bwana ilivyoharibiwa usharikani hapo.
 Mimbara imechomwa na kuharibiwa
 Dakta Malasusa akishuhudia Mimbari ya kuhubiria ilivyochomwa moto
 Waumini na wananchi mbalimbali wakiwa hawaamini kilichotokea
Biblia zimechanwachanwa na nyingine kuchomwa moto

HAIJAPATA KUTOKEA DAR

 Kinanda kimevunjwavunjwa na kupinduliwa
 Akinamama wakiombeleza,,wanamshtakia Mungu
 Hii ni iliyokuwa ofisi ya Mchungaji, kuna mali nyingi zimeibiwa na nyingine kuteketezwa humu
Spika ikiwa imechomwa moto

WAISLAMU WAFANYA UHARIBIFU MKUBWA KKKT MBAGALA

 Washarika wa KKKT Mbagala wakiangalia uharibifu uliofanywa na waislamu kwenye kanisa lao.
 Gari iliyokuwepo kanisani hapo
Mimbara, Madhabahu, na jengo la kanisa vimeharibiwa vibaya