Saturday, October 13, 2012
TASWIRA ZAIDI ZA UHARIBIFU WA MAKANISA MBAGALA
Mama na mwanawe wakilia baada ya kushuhudia uharibifu huo.
Msalaba na vyombo vya madhabahuni vimevunjwavunjwa na kuchomwa moto.
Mchungaji wa KKKT Usharika wa Mbagala Frank Kimambo, kasiki la saccos nalo limevunjwa
Mkuu wa KKKT na Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dakta Malasusa akiingia kanisani kushuhudia uharibifu
Askofu Malasusa, Msaidizi wa Askofu Dean Fupe na Mchungaji Kadiva wakishuhudia madhabahu ya Bwana ilivyoharibiwa usharikani hapo.
Mimbara imechomwa na kuharibiwa
Dakta Malasusa akishuhudia Mimbari ya kuhubiria ilivyochomwa moto
Waumini na wananchi mbalimbali wakiwa hawaamini kilichotokea
Biblia zimechanwachanwa na nyingine kuchomwa moto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment