Hapa Maandamano kuelekea kanisa Kuu la Azania Front.
Hapa watumishi mbalimbali wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani katika maandamano.
Mch. Lema akimwongoza mzee aliyebeba msalaba wa Jubilei, kuelekea geti la kanisa la Azania Front. Picha bado ninazo za kutosha, endelea kupitia mtandao huu.