1107.7 UPENDO FM RADIO LIVE

UPENDO FM LIVE

Thursday, July 19, 2012

WASAFIRI WADUWAA KWA MUDA BANDARINI








Abiria wakisubiri kukata tiketi za kuelekea Zanzibar hii leo,,,tangu kutokea kwa ajali jana, serikali ilisimamisha safari zote za meli kuelekea Zanzibar. Meli ya kwanza imeondoka leo saa saba mchana.