Askofu Malasusa akipanda mti kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wasichana Mkuza.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Sweden, akipanda mti.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Marekani akipanda mti
Hapa, Askofu kutoka nchini Finland akihubiri mara baada ya uzinduzi rasmi wa shule ya Wasichana ya Mkuza iliyoko Mkuza Kibaha, inamilikiwa na KKKT-Dayosisi ya Mashariki na Pwani, ni moja kati ya shule zenye mandhari nzuri na tulivu.