1107.7 UPENDO FM RADIO LIVE

UPENDO FM LIVE

Thursday, August 23, 2012

SAFARI YA KISARAWE HII


Tunatengeneza makala maalum ya historia ya kuingia kwa injili katika Pwani ya Mashariki,,,nina zawadi nyingi za picha. tembelea blog hii ili ufaidi.

JUBILEI MIAKA 125 YA INJILI KKKT-DMP

Eneo la makaburi ya Kisarawe, ambako wamisionari na wachungaji wa kwanza wamelala. picha na Isaac Kikula.