Siku zote, wataalamu wa masuala ya picha wanasimulia kwamba picha moja huweza kuongea maneno 100. Ipo haja ya serikali kutafuta njia mbadala za kuwafanya wafanyabiashara ndogondogo husani wamachinga kuwa na miundombinu stahiki kwa biashara zao. Otherwise ni kama hawana watetezi.
No comments:
Post a Comment